Tangazo kwa wanafunzi wote wa BAPRM TWO-SAUT MWANZA
Jamani
nimepewa vitabu na mwalimu Jota wa Enterpreneur ninavyo ktk flash
amesema kila mtu asome,mara nyingi nipo chuo na nitavipeleka kwa dada
Irene - Stationery tafadhali sana anayetaka anitafute 0712 553 980
by Dova Mcheshi- Mbunge PR TWO A
No comments:
Post a Comment